NDONDI ZA MWASIKA NA REFA ZIPO HAPA NA VIHOJA VYAKE

Mchezo wa soka ni mchezo ambao unapendwa na watu wengi duniani ila mtu pekee ambaye anatajwa kuwa na nafasi ya kuweza kufanya maamuzi ndani ya uwanja ni refa ambaye mara nyingi amekuwa akiambulia lawama kutoka kwa wachezaji na viongozi wa timu wanaoamini kuwa wameonewa, najua umewahi kusikia refa akipigwa na wachezaji au mashabiki wa timu fulani.

maxresdefault (1)
Hata kuna wakati wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Stephane Mwasika waliwahi kumpiga refa Israel Nkongo ambaye waliamini kuwa hakuchezesha mechi yao kwa haki bali alipendelea Azam FC, tukio ambalo liliwafanya wapate adhabu, achana na beki huyo wa Yanga wa zamani mtu wangu, nimekutana na video mtandaoni ya vioja vya refa mbabe.
01
Wachezaji wa Yanga wakimkimbiza refa wa mechi yao dhidi ya Azam FC  Israel Nkongo
Najua umezoea kusikia wachezaji wakimpiga refa, ila refa huyu anakupiga na kadi anakuonesha kama unapingana na uamuzi wake, cheki kipande cha video cha dakika 2 baada ya refa kuamuru penati wachezaji walianza kumzonga na yeye akawa anawakwepa ila baadae akampiga ngumi mchezaji hadi na kumuangusha chini na mwingine alimpiga teke yaani hataki kukupa nafasi ya kumpiga.

from Blogger http://ift.tt/1lej2Bw
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment