Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya Barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Morogoro jijini Dar es Salaam.
Madereva wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi wakielewana mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa madereva wasiopenda kuvaa kofia ngumu(Herement) pamoja na Serikari Jeshi la Polisi kutoa agizo la kuvaa kofia hizo lakini wamekuwa wakiakipuuza sheria hiyo. wakingoja ningejua ninge…….
Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula kama ilivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii).
from Blogger http://ift.tt/1RgWpZH
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment