HII NI MUSIC FESTIVAL AMBAYO HUFANYIKA HUKO EMPIRE PAULO CLUB CALIFORNIA ,ILIKUWA KWA MARA YA KWANZA ORGANIZED NA MTU ALIYE ITWA PAUL TOLLETT WAKA 1999 NA INAJUMUISHA AINA NYINGI ZA MUZIKI KAMA ROCK,INDIE,HIP HOP,ELECTRONIC DANCE MUSIC BASI HUWA YAPENDWA KAMA MNAVYOPENDA HUKU MFANI NYAMACHOMA FESTIVAL MAANA WATU WENGI HUKUTANA NA KUENJOY PAMOJA.
from Blogger http://ift.tt/1MDSSS3
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment