IMENIFIKIA LIST YA NCHI 10 ZINAZOTAJWA UCHUMI WAKE UNAKUWA KWA HARAKA ZAIDI DUNIANI,TANZANIA IKIWEMO.

Ripoti ya World Economic Outlook ‘WEO’ ambayo inatoa makadirio ya maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya kimataifa, ripoti hiyo hutolewa April na September/October kila mwaka ambapo hutumia database kupata taarifa za akaunti za taifa, mfumuko wa bei, viwango vya ukosefu wa ajira, bei za bidhaa n.k.

Katika ripoti yake ya April 2016 imeitaja nchi ya Myanmar kuwa ndio nchi inayotajwa kuongoza nchi zinazotarajiwa kurejea katika ukuaji mkubwa wa uchumi kwa pato linalokadiriwa kukua kwa 8.6% kwa mwaka.

Ivory Coast imekuwa nchi ya pili na makadirio ya ukuaji wa pato la Taifa la 8.5% mwaka huu.

Nchi zingine zilizotabiriwa kurudi takwimu ya juu ya ukuaji ni pamoja na India, Laos na Tanzania.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment