Mawaziri wafungua machinjio ya Vingunguti

Mawaziri wafungua machinjio ya Vingunguti

Mkurugenzi wa manispaa ya Ilala Isaya Mgulumi (mwenye miwani) akiwaeleza mawaziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) na Waziri wa Kilimo na Mifugo, Mwigulu Nchemba (kushoto) akiwaelezea hali ya ukarabati wa machinjio hayo.Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Nchemba kwa pamoja na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wametembelea machinjio ya Vingunguti na kuona jinsi hali ilivyo katika eneo hilo.Pamoja na kutembelea eneo hilo ambalo lilikuwa limefungiwa kuchinja nyama, mawaziri hao wameruhusu kwa siku tatu kuchinja huku wakitoa maagizo kwa Halmshauri ya Manispaa

from Blogger http://ift.tt/1r9d7RG
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment