Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Ajumuika na Wananchi wa Jimbo hilo Katika Ujenzi wa Taifa wa Tawi lao la CCM Milimani

.

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Vijana wa Tawi la CCM Milimani wakati wa Ujenzi wa Taifa wa kujenga tawi hilo la CCM. ili kuimarisha Chama kuazia ngazi ya Tawi hadi Shina.  
Vijana wa Tawi la CCM Milimani kiembesamaki wakiwa katika harakati za Ujenzi wa Taifa wa Tawi hilo kwakiwa na Mwakilishi wao Mhe Mohmoud Thabit Kombo.
Vijana na Wanachama wa Tawi la CCM milimani wakiwa katika ujenzi wa Taifa wa Ujenzi wa Tawi hilo wakiwa na Mwakilishi wao.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar akijumuika na Wanachama wa Tawi la CCM Milimani katika ujenzi wa Taifa wa kujenga tawi hilo ili kuimarisha Chama kuazia ngazi ya Tawi hadi Taifa.

from Blogger http://ift.tt/1qhc0yb
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment