MADEREVA wa bodaboda nchini wametakiwa kukata bima ya
afya ili kutibiwa watakapougua wao pamoja na wategemezi wao watano kwa kuwa
ugonjwa hautoi taarifa.

wito huo
umetolewana mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe mkoa wa Njombe, Yasina Mshama wakati
akifunga mafunzo kwa madereva wa bodaboda halmashauri ya wilaya ya makambako
ambao wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani pamoja na utunzaji wa pesa zao.

Alisema kuwa
madereva hao wajiunga na bima za afya kubwa ili kutpata huduma katika hospitali
kubwa na kupata huduma yenye uhakika kuliko wakikata bima ndogo ambazo huduma
zinaishia katika zahanati.

madereva hao wakiwa na bima kubwa watatibiwa wao pamoja na familia zao mpaka
watu watano kuliko wakikata bima ndogo itamtibu mtu mmoja na katika kituo cha
afya cha kata yake.

Kwa upande
wake mkuregenzi wa taasisi iliyo toa mafunzo kwa madereva hao 130 ya Apec
Respicius Timanywa huku wanawake wakiwa ni wanne akiwemo diwani wa Kata ya
Udonja alisema kuwa madereva hao ni vyema wakapata bima ya afya kwa kuwa wakiwa
na bima hiyo watatibiwa wakati wowote kwa mwaka mzima bure baada ya kulipa mara
moja.

wamekuwa wakipata vipato vyao kidogo lakini wakumbuke kuweka kidogokidogo kasha
kulipa bima ya afya huku akiiomba serikali kuruhusu pikipiki kuwa na bima kubwa
tofauti na ilivyo hivi sasa.

Timanywa Alisema
kuwa halmashauri kupitia mapato yake ihakikishe kuwa inatenga asilimia 5
kwaajili ya vijana na kuwapatia vijana walio pata mafunzo ili kuwaendeleza
kiuchumi na hatimaye kujitegemea.

Hata hivyo
diwani wa kata ya Udonja Happiness Bomber ameomba Apec kutoa tema mafunzo ili
wananchi wake wapate elimu hiyo na kupunguza ajali kwa kuwa wananchi wengi
wamekuwa wakijifunza bodaboda mtaani na kuingia kusafirisha abiria.

from Blogger http://ift.tt/1ZEfMgU
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment