GHASIA ZILIZO HAPA JIJINI MBEYA MAENEO YA NSALAGA.




Ghasia zilizo tokea hapa jijini mbeya maeneo ya nsalaga kwa kuusishwa na vulugu za kuchoma barabara zilizo tokana na polisi walio kuwa wakilinda usalama wa raia hao kutokana na vulugu za hawali za kutolewa kibanda kilichopo pembezoni mwa barabara.

hayo yamesemwa na wananchi maeneo ya nsalaga kuwa vitendo vilivyo fanywa na polisi hao ni vya uonezi hususani kukamata watu ambao awana hatia ya kuwapiga na kuenda nao kituoni

Aidha wananchi hao wamesema wengine  ni wazee ila wanakamtwa kwa makosa vya watu wengine

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment