MAAMUZI YA MESSI NA WACHEZAJI WENZAKE BAADA YA KUONA WANAKOSEWA HESHIMA.

Maamuzi ya Messi na wachezaji wenzake baada ya kuona wanakosewa heshima


Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi leo November 16 2016 baada ya ushindi wa goli 3-0 dhidi ya timu ya taifa ya Colombia ametangaza kufunga utaratibu wa wachezaji wa timu ya Argentina kufanya mkutano na waandishi wa habari baada ya kuona wamekosewa heshima muda mrefu.
Messi na wachezaji wenzake wa timu ya taifa wameamua kutoongea katika vyombo vya habari kufuatia kukosewa heshima kwa muda mrefu, hususani hawakufurahishwa zaidi na Ezequiel Lavezzi kuandikwa kuwa ameachwa kwa katika kikosi cha Argentina kwa kukutwa akivuta bangi.
screen-shot-2016-11-16-at-4-31-37-pm
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment