NAIBU WAZIRI WA UJENZI KUIFANYIA MABADILIKO MAKUBWA MENEJIMENTI YA MAMLAKA YA RELI YA TAZARA.




MBEYA

Naibu waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano mhandisi          EDWIN NGONYANI amesema serikali ipo katika mkakati wa kuifanyia mabadiliko makubwa menejimenti ya mamlaka ya reli ya TAZARA ili iweze kujiendesha yenyewe.



Naibu waziri NGONYANI amesema hayo mkoani mbeya ambapo ametoa wito kwa viongozi wa tazara kuwa wabunifu ili kuongeza ufanisi wa reli hiyo katika usafirishaji wa abiria na mizigo mbalimbali.


Wafanya kazi wameeleza kutokuwa na imani na menejimenti ya tazara kwa madai kuwa siyo wabunifu katika kazi zao..

Akijibu kero za wafanyakazi wa tazara naibu waziri wa ujenzi ,uchukuzi na mawasiliano mhandisi EDWIN NGONYANI amesema uwezo wa kujitegemea upo mkubwa kwa tazara .

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment