Maandamano ya hivi punde yanajiri muda mfupi baada ya vyama vya upinzani kupeleka bungeni mswada wa kumuondoa madarakani Rais Park.
Mswada huo unaoungwa mkono na wabunge 170 unapigiwa kura wiki ijayo.
Rais Park amesema kuwa ana nia ya kuondoka
madarakani kufuati madai kuwa walishirikiana na rafiki wake wa karibu
Choi Soon-sil, ambaye anakabiliwa na mashataka ya ufisadi.
0 maoni:
Post a Comment