Siku moja baada ya kiwanda cha
Dangote kilichopo Mtwara kuripotiwa kwamba kimesitisha uzalishaji, watu
mbalimbali wakiwemo wachumi, wanasiasa walitoa maoni tofautiofauti huku
maneno mengi yakiendelea kwenye mitandao ya kijamii.
millardayo.com na AyoTV
imempata Waziri wa Viwanda, biashara na uwekezaji, Charles Mwijage na
ameeleza sababu za kiwanda hicho kufungwa na kuhusu maneno yaliyoenea
kuwa wenye viwanda vya saruji wamefunga viwanda kugomea makaa ya mawe ya
hapa nchini kwa madai kuwa hayana ubora kama wanayopata nje ya nchi.
>>>’Mkurugenzi
mtendaji wa Kiwanda amesema ni tatizo la kiufundi na litarekebishwa
katika kipindi kifupi kischozidi wiki mbili’-Waziri Mwijage
0 maoni:
Post a Comment