Karibu Dar es salaam ya Makonda,
jiji lenye foleni na magari mengi zaidi kuliko mji mwingine wowote
Tanzania na hiyo inasababisha foleni kila siku lakini foleni
haisababishwi na magari peke yake bali hata sehemu wanazovuka watu kwa
miguu. Buguruni ni moja ya maeneo ambayo
wavuka kwa miguu walikua wanachangia sana foleni au magari kwenda
taratibu kila yanapofika kwenye eneo hilo lakini leo hii hali
imebadilika,
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment