Picha: Mapokezi aliyopata Oscar alivyo tua China


 

Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazili Oscar tayari ametua nchini China na kujiunga na klabu yake mpya ya Shanghai SIPGt.

Klabu hiyo ambayo imemnunua kutoka klabu ya Chelsea kwa dau la paundi million 52, atakuwa akilamba paundi 400,000 kwa wiki amepata mapokezi ma kubwa huku China angali picha hapa chini.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment