Haya ndio Mataifa Matano Yanayopinga Uwepo wa Mungu

Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

1. China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya wapagani, huku asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

3. Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani, huku asilimia 30% ya wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.

4. France.
Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

5. Korea Rep (South).
Ikiwa asamilia 15% watu wasioamini kwamba Mungu yupo.

from Blogger http://ift.tt/2mbpWZ1
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment