Mwimbaji wa bongofleva Barnaba Boy yupo kwenye vichwa vya habari za burudani kwa zaidi ya siku 5 sasa hivi baada ya habari zinazodaiwa kwamba ameachana na Mama mtoto wake. Barnaba amehojiwa na The weekend chat show na kusema hayo ni maneno ya watu tu ila yeye hajagombana na mama watoto wake Mama Steven japo kila mtu ana matatizo. “Mimi na wife wangu hatuna matatizo, maneno hayo yanayoendelea uko nje achana nayo, Mimi sijawai kugombana na mama watoto wangu wala mama watoto hajawai kuondoka nyumbani na the Good Thing is mimi na familia yangu tupo karibu na Steven anaenda shule kama kawaida“ “Chukua hili neno kubwa sana MIMI NA MAMA WATOTO WANGU HATUNA MATATIZO, kila mtu anamatatizo lakini mimi sidhani kama matatizo yangu naweza kuyaleta hadharani ila natanguliza samahani kwa watu wangu kwa sababu mimi sipendi kelele mbaya” “kwenye muziki wangu, Mungu anisamehe huu mwezi umekuwa kama unaniandama kwa vitu vingi sana ila Namuamini Yesu na namwamini Mungu kilicho kibaya kilicho kizuri namuachia Mungu“

Mwimbaji wa bongofleva Barnaba Boy yupo kwenye vichwa vya habari za burudani kwa zaidi ya siku 5 sasa hivi baada ya habari zinazodaiwa kwamba ameachana na Mama mtoto wake.
Barnaba amehojiwa na The weekend chat show na kusema hayo ni maneno ya watu tu ila yeye hajagombana na mama watoto wake Mama Steven japo kila mtu ana matatizo.


“Mimi na wife wangu hatuna matatizo, maneno hayo yanayoendelea uko nje achana nayo, Mimi sijawai kugombana na mama watoto wangu wala mama watoto hajawai kuondoka nyumbani na the Good Thing is mimi na familia yangu tupo karibu na Steven anaenda shule kama kawaida“
“Chukua hili neno kubwa sana MIMI NA MAMA WATOTO WANGU HATUNA MATATIZO, kila mtu anamatatizo lakini mimi sidhani kama matatizo yangu naweza kuyaleta hadharani ila natanguliza samahani kwa watu wangu kwa sababu mimi sipendi kelele mbaya”
“kwenye muziki wangu, Mungu anisamehe huu mwezi umekuwa kama unaniandama kwa vitu vingi sana ila Namuamini Yesu na namwamini Mungu kilicho kibaya kilicho kizuri namuachia Mungu“

from Blogger http://ift.tt/2lvIGFx
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment