Waajiri nchini wametakiwa
kutoa ajira za uhakika kwa madereva badala ya kuwa tumia kama vibarua ili
kupunguza tatizi la ajari za barabarani zinazochangiwa na madereva kwalengo la
kuongeza kipatochao cha siku kupitia posho wanazao patiwa na waaajiri
Posho bila mshahara ndicho
kilio kinacho tajwa kuwa chanzo kikubwa kinacha changia ajari za barabarani ambapo watanzania wengi tayali wamesha poteza
maisha kutokana na ajari hizo zinazo sababiswa na shinikizo la kipato duni
wanacho patiwa madereva na waajiri wao
Akizungumza wakati wa
kuwakabidhi vyeti wahitimu wa udereva katika chuo cha mafunzo na ufundi stad
veta mkoa wa mwanza mratibu wa kozi fupi na ujasiliamali wa chuo hicho peter
mlacha amewashauri madereva kutoku kukubali kama vibarua
walio hitimu
cozi ya udereva katika chuo hicho awamu hii walikuwa na haya ya kusema
Mwenyekiti wachama chama
madereva kanda ya ziwa dede petro amesema kutokana na hali hiyo ameimbo
saerikali kuweka utaratibu wakuweka vigezo maarumu vya ajira kwa madereva
ilikuwaondolea adha ya kunyanyaswa na waajiri wao
0 maoni:
Post a Comment