OPERASIONI YA UKAGUZI WA POMBE KALI HALIMAARUFU VILOBA SASA WAFANYIKA NCHI NZIMA.





OPERASIONI YA KUKAGUA utekelezaji wa zuio la utengenezaji uingizaji uuzaji na matumizi ya pombe kali katika vifungashio vya plast yani viroba imefanikiwa kukamwatwa kwa shehena yenye dhamali zaidi ya shilingi bilioni 10.83 tangu ianze pamoja nakubaini pombe zenyechapa mbalimbali zikiuzwa nchini bila kusajiriwa na mamlaka ya chakul;a na dawa TFDA

 

OPERTASION hiyo iliwahusisha wakaguzi 58 walio sam,bambazwa katika WILAYA ya temek ilala na kinondoni jiji dar e s salaam imefanikisha jumla ya katoni99171 zapombe kali zilizo kuwa zimefungashwa kwenye vifuko vya plastiki maarufu kama viroba  huku chupa zenye ujazo wa mililitra 100 chupa elf kumi mia sita 25 ziki kamwata



Akitoa tadhimi ya zoezi huli kwa waandishi wa habari jijini dare s salaam waziri wan chi muungano na mazingira januari makamba ametaka biadhaa zote zilizo kamatwa kuweKWA kwenye maghara ya viwanda  maduka ya jumla zibaki hapo mpaka serilaki itakapo toa maelekezo mengine

Huku akiweka bayana nia ya serikali kuwafungulia kesi mahani wafanya biashara walio kiuka katazo hilo la serikali

ILIKUFANIKISHA ZOEZI HILO serikali imetangaza kutoa zawadi kati ta shilingi laki 2 hadi milioni 1 kwa mwananchi yoyote akaetoa taharifa zitakazo fanikisha kuwakamata watu wanao jihusisha na utengenezaji uingizaji, uuzaji na matumizi ya pombe kali zinazo fungashwa kwenye vifungashio vyaplastiki maharufu kama viroba



OPERASHIONI hiyo ilihusishwa na wakaguzi kutoka taasisi ya serikali za TBS,TFDA,MKEMIA MKUU WA SERIKALI, NEMKI, TRA NA JESHI LA POLISI




Utekelezaji wa katazola utengenezaji, uingizaji,uuzaji, na matumizi matumizi ya pombe kali zinazo fungashwa kwenye vifunga shio vya plastiki yani viroba unazingatia sheria ya mazingia ya mwaka 204 na kanunu zake zilizo tungwa kupitia kufungu cha mia230 2 kifungu kidogo F cha sheria hiyo na sheria ya reseni za vileo namba 28 mwaka 1968 pamoja na marekebisho yake ya mwaka 2012

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment