Dr john pombe magufuli
amemwagiza waziri wa nishati na madini
pr sosipitar muhongo kuahakikisha ndani ya siku saba mmiliki wa kiwanda
cha saruji cha dangote alhaji aliko dangote anapewa eneo la kuchimba makaa yamawe
kwaajiri ya kuendeshea mitambo ya kiwanda chake
RAISI dr pombe magufuli
ametoa agizo hilo wakati akizindua magariya kubeba mizigo ya dangote ambayo
yalishushwa hivi karibuni katika bandari ya mtwara ambako jumla ya magari mi580
yamezinduliwa kwaajiri ya kusambambaza saruji katika miji mi dogo hapa nchini
Raisi magufuli ambeye amekaribishwa kuhutubia
wananchi na kuzindua magari hayo na mmiliki wa kiwanda hicho alhaji aliko
dangote amesema kuwa baadhi ya watu wanakwamisha kiwanda cha dangote kupata
makaa yam awe na kwamba ndani ya siku saba mmiliki wakiwanda hicho anatakiwa aweamepata leseni pamoja naeneo la
kuchimba makaa ya mawe
KATIKA MAMLAKA NYINgine
ameagiza mamlaka zinazo husika na masuala ya gesi kuuza gesi mojakwamoja kwa
mmiliki wa kiwandahicho dila kupitia kwa mwekezaji mwingine
RAISI magufuli pia ameweka
jiwe la msingi kwaajiri ya ujenzi wakituo cha kufua umeme cha mtwara ambacho
kitazalisha umeme kwaajiri ya mkoa wa lindi na mtwara nakuagiza wadaiwa sugu wa
tanesco kukaiwa umeme
0 maoni:
Post a Comment