Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ritha Komba wimbo wake huu unaitwa Kivulini ukiwa umetengenezwa na producer Kingson kutoka studio ya Mefo Music kutoka mjini Mbeya.
gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Kivulini kutoka kwa muimbaji Ritha Komba na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba Email: rithakomba@yahoo.com au synyoritha@gmail.com
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

DownloadKwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Ritha Komba kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba Email: rithakomba@yahoo.com au synyoritha@gmail.com
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment