PICHA: Rais Magufuli Awasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya siku Tatu ....Pia Atakuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya May Mosi SeeBait


SeeBait
Rais John Pombe Magufuli leo Aprili 29, 2017 amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu.

Sambamba na ziara hiyo, Rais Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambapo atakuwa mgeni rasmi.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment