![]() |
kocha wa chelsea |
Kocha wa chelsea,Jose Mourinho amesema itakuwa viguma kujizuia wakati atakapo kaa rasmi katika benchi ya stamford Bridge kwa pambano lao la kwanza hapo kesho jumapili katika ligi kuu ya premier dhidi ya Hull city.
Mourinho aliyejiunga tena klabu hiyo kwa awamu ya pili mnamo mwezi wa juni baada ya kuondoka mwaka septemba 2007.
nitakapo ingia katika uwanja wangu,kukaa katika benchi langu pamoja na watu, itabidi niwe mtulivu kidogo,Alisema mourinho mwenye umri wa miaka 50
itanichukua dakika 3 kutafakari na kabla ya kushughulikia pambano lenyewe
Mourinho aliwasili mara ya kwanza Stamford Bridge mwaka 2004 wiki chache tu baada ya kuiongoza Porto ya Urenokunyakuwa kombe la mabingwa ulaya.
0 maoni:
Post a Comment