UJIO WA MWENGE MKWAJUNI WILAYANI CHUNYA WA WAWEKA VIONGOZI KUWA MAKINI.

moja ya makazi ya mkwajuni jichopembuzi@gmail.com
hili ni daraja la zira toka enzi za mjerumani  barabara ihendayo mkwajuni
Wakati jichopembuzi likiwa mtaani limeweza kubaini ukaguzi wa  kinyemela kwa mkuu wa wilaya wa chunya aitwaye Deodutus kinawipo katika mji wa mkwajuni kwa kutasmini miradi itakayo weza kufunguliwa na mwenge huo pindi ufikapo kutokea wilayani momba na kulala katika mji huo wa mkwajuni.


sambamba na hilo katika usajili wa vizazi na vifo unaendelea katika kata ya mkwajuni kwa upande wa watoto huku mwamko ukionekana kufifia hata ivyo zoezi hilo ni la kudumu kwani kila mtu anatakiwa kusajiliwa.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment