Katika upimaji zilichukuliwa sampuli za udongo kutoka mji wa Damascus na sampuli za damu kutoka kwa waanga walio jeruhiwa baada ya bomu la gesi kutupwa na kija kuwauwa na kuwajeruhi watu mbalimbaliKazi yao ilikuwa si kuangalia nani wa kulaumiwa lakini kuthibitisha shambulizi kutokea.

0 maoni:
Post a Comment