KOCHA WA ZAMANI WA YANGA TOM SAINTFIET AJIUZULU KUIFUNDISHA MALAWI BAADA YA KUFUNGWA NIGERIA

Kocha wa zamani wa klabu ya yanga ambaye alikuwa kocha wa timu ya taifa ya malawi TOM SAINTFIET amejiuzulu kufundisha timu hiyo ya taifa kufuatia kipigo cha goli 2-0 dhidi ya nigeria jana jumamosi 

kufuatia kipigo icho matumaini ya nchi hiyo ya malawi kwenda kucheza katika fainali za kombe la dunia yamefutika kabisa.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment