WAKAZI wa Afrika mashariki wana athirika katika kila njia goya maisha yao kutokana na kutoa hon.
Polisi wa kenya wametangaza uchunguzi ,utafanyika kutokana na ripoti za kuwepo na njama inayofanywa na kundi la polisi kukusanya fedha kutoka wamiliki watatu NAIROBI,Ili kutosimamisha magari yao kutokana na kosa la barabarani
Inaripotiwa kwamba kuna polisi aliyekuwa akiweka katika akaunti ya benki shilingi 300,000 sawa na dola 3,400 kila siku zilizo kusanywa kinyume cha sheria.
Mkurugenzi mtendaji wa Transperency International,tawi la kenya SAMUEL KIMEU akizungumza katika Live Talk anasema UGANDA inaongoza katika watu kutoa hongo huko Afrika mashariki kutokana na uchaguzi waliofanya 2012 ikifuatiwa na KENYA,BURUNDI na RWANDA.
PAUL KALOMO wa mega Attorney nchini TANZANIA anasema hali hii inatokana na ukosefu wa nidhamu na inabidi wananchi wenyewe wachukue hatua za kubadili tabia hii.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment