Ingawa rais OBAMA alipokelewa na Rais PUTIN,PUTIN aliwaambia waandishi wa habari mahusiano kati ya MAREKANI na RUSSIA yamegonga mwamba. Kutoka mabara sita( 6 ) viongozi wa nchi 20 zenye nguvu duniani walikutana Alhamisi katika Kasri ya RUSSIA iliyojengwa karne ya 18 kujadili namna ya kupiga jeki uchumi wa Dunia.lakini suala la syria liligubika ajenda hiyo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment