SIKILIZA KIPINDI CHA INJILI KUTOKA SWAHILI RADIO NA MTANGAZAJI WAKO MARY MGAWE.

LEO JUMAPILI SEPTEMBER 08,2013 KATIKA   KIPINDI CHA INJILI SWAHILI RADIO.
 
Muasisi na aliye kuwa Askofu mkuu wa kanisa la EAGT marehemu DTK.MOSES KULOLA enzi wa uhai wake.Mtangazaji wako MARY MGAWE anazungumzia wasifu na mazishi ya aliye kuwa Askofu mkuu wa kanisa la EAGT(EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD TANZANIA)

Sikiliza swahili Radio online kipindi cha injili na Mary mgawe sasa hivi baada ya hapo mziki mchanganyiko ya injili na kipindi kitarudiwa tena.


BOFYA HAPA KUSIKILIZA SWAHILI RADIO ONLINE

LINK.

htt//tunein.com/radio/swahili-Radio-s206110/

Sikiliza kupitia simu yako ya mkononi Dowload app ya tunein kwa simu yako kisha search swahili Radio bofya na sikiliza


Tuko hewani masaa 24 tukitangaza kutokea jijini Washingston D.C Marekani

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment