MELI YA TANZANIA YAKAMATWA ITALIA.

Wakati serikali ikiendelea kupiga vita biashara ya madawa ya kulevya nchini,meli moja iliyosajiliwa Tanzania nchini Italia  ikiwa vna shehena ya dawa hizo tani 30 zenye thamamani ya pouni milioni 50 sawa na sh.bilioni 123 za Tanzania.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment