MKOSAMALI:MREMA ANAJIPENDELEZA ALIPWE MAFAO

JIBU LA SWALI LA MBUNGE MUHAMBWA.

www.jichopembuzi@gmail.com
MBUGE wa muhambwa,FELIX MKOSAMALI (NCCR_mageuzi)amemshambulia mbunge wa vunjo,AGUSTINO MREMA,kwa madai kiuwa anajikomba kwa serikali ili apatiwe mafao makubwa ya uzeeni kutokana na wadhifa wake aliokuwanao serikalini wakati huo 

MKOSAMALI alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akiuliza swali la nyongeza kwa kutaka serikali ieleze ni kwa nini? inatoa mafao makubwa kwa viongozi wastaafu kama vile mawaziri wastaafu na maraisi wa staafu wakati wastaafu wa ngazi ya chini pensheni yao ni kidogo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment