VULUGU ZILIZO LINDIMA MBEYA,KIWILA JANA BARABARA YA FUNGWA KWA MASAA 4 KAZAA.

Wananchi katika jiji la Mbeya eneo la kiwila wilayani Rungwe wafanya vulugu za kufunga barabara na magari yaendayo nchi za nje kukosa fursa ya kupita kwa muda wa takribani masaa 4 bila mafanikio,sababu za kufanya vulugu hizo hilitokana na mara baada ya viongozi waalmashauri ya wilaya ya rungwe kutangaza tozo mpya ya mazao kwa wafanya biashara hiliyo fanyiwa marekebisho ya tangu mwaka 1989 kutoka tozo ya Tsh 100 kwenda Tsh.200 na kwa sasa hali hiyo imekwisha dhibitiwa .

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani amesema anawashikilia watu takribani 40 kwa vulugu hizo zilizo tokea jana majira ya saa 12:00 jioni na kuweza kudhibitiwa na polisi kwa nguvu zote,hivyo katika vulugu hizo kuliweza kuleta usumbufu kwenye magari na hivyo kunya msonga mano wa magari kuliko pelekea gari lililo beba maiti kushindwa kupita ndipo polisi hilibidi itumie mabomu ya machozi  kuwatawanya wa nchi awo.

Diwani ametoa wito kwa wananchi kuto vikumbatia vitendo viovu na kuwa sii kutii sheria bila shuruti watuhumiwa walio kamatwa wanatalajiwa kufikishwa mahakamani hivi leo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment