WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA.

Maafisa wakuu wa ujasusi wametakiwa kufika mbele ya kamati ya ulinzi ya bunge ili kuhojiwa kuhusu mashambulizi ya kigaidi dhidi ya jumba la west gate.

Taarifa kwenye vyombo vya habari nchini humo zinaonyesha kuwa hali ya kulaumiana imeanza kuibuka huku mashirika  ya usalama yakinyosheana vidole.

Watu 67 waliuawa kwenye shambulizi huku zaidi ya miamoja sabini na tano wakipata majeraha mabaya.Shirika la Red Cross nalo linasema kuwa watu 61 wangali hawajulikani waliko.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment