WASHUKIWA WA SHAMBULIZI LA TINDIKALI WAKAMATWA.

POLISI visiwani Zanzibar,wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuhusika na mashambulizi ya tindikali visiwani humo.

mkuu wa polisi nchini humo Mussa Ali Mussa,alidai kuwa baadhi ya washukiwa wana uhusiano na kundi la wapiganaji wa Alshabaab nchini Somalia.

Wiki jana kasisi wa kanisa katoliki ashambuliwa kwa kumwagiwa tindikali katika mji wa kale.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment