WAZIRI MKUU MPYA AUSTRALIA.

CHAMA cha upinzani cha kihafidhina australia kimeingia madarakani jumamosi (07.09.2013)na kumaliza miaka sita ya utawala wa chama cha leba kwa kupata imani ya wapiga kura kutokana na ahadi ya kuimalisha uchumi.


Baada ya kujipatia ushindi Abbott amewaambia wafuasi wake kwamba anasubili kwa hamu kuunda serikali mpya yenye nguvu.

 

 

sela za siasa za leba zimekufa sasa


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment