WANDISHI WA AL JAZEERA MIAKA 7 JERA

Mahakama nchini misri imewahukumu jela miaka saba wandishi watatu wa habari katika shirika la habari la Al Jazeera kwa kosa la kueneza habari za kupotosha.

walipatika na hatia ya kueneza habari za kupotosha na kushilikiana na kundi la wapiganaji wa kiislamu la muslim Brotherhood .

mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste,Raia wa Australia na ambaye pia alikuwa mwandishi  wa habari wa BBC wakati mmoja

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment