KERRY ZIARANI MASHARIKI YA KATI
Waziri wa mambo ya nje wa marekani john kerry amekuwa na ziara tangu jumapili (22.06.2014) kwa mazungumzo na Rais Aldel Fatah al-sisi mjini Cairo na kuyaimiza mataifa ya kiarabu kutowagharamia wapiganaji wa kisunni mpakani mwa syria na Iraq.
Kerry na afisa wa ngazi za juu wa marekani kutembelea Misri tokea sisi mkuu wa zamani wa majeshi aliye mpinduwa Rais Mohamed Musri kufuatia vulugu za maandamano ya umma mwaka jana ashinde katika uchaguzi wa Rais nchini humo hapo mwezi wa mei.
0 maoni:
Post a Comment