Chama cha mpira wa mikono TAHA cha nchini Tanzania bado kinalia na ukata kwa ajili ya safari na kufanya maandalizi ya timu ya taifa ya mpira wa mikono itakayo shiriki michuano ya ubingwa kwa nchi za afrika mashariki na kati nchini Uganda.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment