BUNGE LA KATIBA KUENDELEA AGOSTI 5 BILA UKAWA

Kamati ya mashauliano ya bunge maalumu la katiba nchini Tanzania imependekeza kuendelea kwa vikao vya bunge hilo Agosti 5 mwaka huu hatakama wajumbe wa katiba wa kundi la umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wataendelea kususia vikao hivyo.

Taarifa hiliyo tolewa Jijini Dar es salaam jana na katibu wa Bunge hilo,Bw yahaya Hamad kwa niaba ya mwenyekiti wa Bunge hilo samuel sitta amesema kamati hiyo ilikutana julai 24 mwaka huu na katika kikao hicho wajumbe walijadili matatizo yaliyo jitokeza katika vikao vya bunge lililopita na kupendekeza Bunge hilo liendelee na vikao vyake.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment