RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (super markets)na madogo(Retail shops )katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wanamazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo!!
kemikali zinazo patikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalumu katika maabara za kijeshi za marekani kwaajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauwaji ya kikatili sana zidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini iliyopita .kemikali hizo zilitumika kama dawa za zizindulia watu walio zirai "stress com"
Hazikukusudiwa kutumika kama kinywaji au kilevi cha kawaida !!Duniani kinywaji hiki (RED BULL)huuzwa kama kitu cha kuleta msisimko (Energizer Drink) na matangazo yake yanataja sifa zake kama ifuatavyo nikinywaji kinacho mpa mtu nguvu ya kustahimili na umakini huumpa nguvu ya kivitendo na kazalika RED BULL imesambaa nchi takribani 100 kwa mpigo (nchi maskini) na matangazo yake kuwalenga vijana na watoto na vwana michezo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment