Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 anatuhumiwa kwa kumtishia na kisu mwanaume mwenye Umri wa miaka 25 baada ya mwanaume huyo kukataa kufana nae tendo la ndoa.
Mwanamke huyo Elizabeth Highley alikuwa ana kunywa wine nyumbani kwake pamoja na mwanaume huyo crue Finley katika eneo la jensen beach mjini Florida Marekani ambapo mwanaume huyo alikataa kufanya kitendo hicho
Bwana Finley aliwaambia polisi kuwa mwanamke huyo alichukua kisu na kumfukuza nje ya nyumba hadi mitahani bwana huyo aliomba msaada baada ya kuona polisi nje ya duka moja.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment