Uholanzi imeishinda Costa Rica katika mikwaju ya penalti ,hili kuungana na Argentina ,waandalizi wa michuano hiyo Brazil na Ujerumani katika michuano ya Semi fainali ya kombe la Dunia.
Na katika hatua ya kushangaza Uholanzi ilimtoa mlinda lango wake na kumbadilisha na Tim Kruz ambaye aliokoa mikwaju miwili ya penalti na hivyo basi kuisaidia timu yake kufuzu kwa mechi za nusu fainali
Hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake katika dakika 120
Uhulanzi sasa watakutana na Argentina siku ya jumatano huku Brazil ikichuana na Ujerumani katika nusu fainali nyingine siku ya jumanne .
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment