Rais wa Jamuhuri ya muhungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika banda la wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kwenye viwanja vya sabasaba .
Mtumishi wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mbwana msingwa akiweka saini katika kitabu cha wageni alipo kuja na familia yake kwenye banda la mambo ya nje lililopo kwenye viwanja vya sabasaba.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment