Meneja miradi wa kampuni ya selcom wireless,Galus Runyela kulia akiwaelekeza akina mama wakati wa kutoa pesa kwenye uzinduzi wa mashine za ATM kwenye kampuni hiyo ambazo zinatoa pesa kwa kutumia mitandao mbalimbali kama M-pesa ,Tigo pesa ,Airtel money walipo tembelea kwenye maonyesho ya 38 ya bihashara ya kimataifa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment