YAMETIMIA UGANDA :WATU WASIO PUNGUA 50 WAUAWA.

Watu wasiopungua 50 wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia vituo vya polisi na kambi za jeshi nchini Uganda .

Kwa mujibu wa maafisa wa jeshi wasema mwingoni mwa walio kufa ni washambuliaji 41 na polisi na raia 17 ,mashambulio hayo yametokea magharibi mwa Uganda ,karibu na mpaka wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Jeshi limesema mashambulio hayo yalisababisha mzozo baina ya makabila hasimu,lakini kuna wasiwasi wa kuzuka waasi wa Uganda waliopo mashariki mwa Kongo

mashambulio hayo yamelenga majeshi katika wilaya ya kasese,ntoroko,bundibugyo 
msemaji wa jeshi amesema mashambulio hayo hayana huusiano wowote na kundi la waasi la ADF,ambalo lilikuwa likifanya shughuli zake zaidi ya muongo mmoja.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment