Katika jarida la Health Psychology la hivi karibuni linaripoti kwamba mwanamke akifiwa na mumewa kama walikuwa wakipendana sana basi kwa muda wa mwaka mzima basi mwana mke huyo na kuwa katika matatizo ya kiakili ni baada ya mwaka mmoja ndipo hali yake inaanza kuludi katika hali yake ya kawaida.
kwahiyo kama mwana ume anataka kuoa au kuwa na mahusiano na mwana mke aliye fiwa na mumewe ,anatakiwa kuvuta subila angalau ipite miaka mitatu kabla ajafanya hivyo .kwani akiwai anaweza kujikuta anaishi na "kichaa" na akamwona kwamba hafai kichaa hiki kinatokana na sababu mbalimnbali baada ya mwanamke kufiwa
mabadiliko ya kihisia ambayo usababishwa na hali ya upweke,huzuni maswali yasiyo na majibu kuhusu mstakabali wa maisha kujilaumu kwa namna fulani na simanzi kwa ujumla huumfanya mwanamke kuingia kwenye kichaa cha kimya kimya
kwa kawaida ,wanawake wenye umri wa kuanzia miaka 30hadi 50 wanapo fiwa na waume kama walikuwa wanapendana uingia katika sononi kuu hushindwa kukabili masuala mengi ya kijamii ambayo awali walikuwa wanaweza kuyakabali pia kupata na matatizo ya kimwili ambayo yanaweza kuleta maradhi.
Wanawake wanaofiwa na waume zao wanatakiwa kukaa zaidi ya mwaka mmoja bila kuanzisha mausiano na wana ume wengine kwa sababu akifanya hivyo uwezekano huo wa uhusiano kuvunjika ni mkubwa,kwani akili zinakuwa azijatulia.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment