baadhi ya wana ndungu hao (majina yana hifadhiwa kwa usalama) walisema umri wa Shilole sio wa kuishi na ndugu yao mziwanda kwani hawaendani.
ukweli ni kwamba mapenzi haya ingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu akiwa katika penzi zito na Shilole ambaye awaendani kiumri.
alidai mmoja wa ndugu hao.
Alipo tafutwa Shilole hili kufikishiwa ujumbe wa ndugu hao kwamba awamtaki simu yake ya kiganjani hiliita bila kupokelewa.
0 maoni:
Post a Comment