Habari za awali ndio zinadai kuwa Glory ndiye aliye mfuma mwenzake na bwanake Raia wa Nigeria kisha kumshushia kipigo kabla awajatoana nje na kwenda kuchaniana nguo barabarani,mchana kweupe
Dahaa !!! hii ni haibu kubwa ambayo sjai wai kutegemea kama nitakutana nayo,yaani wabongo kwa wabongo wanapigana kisa bwana wa kinigeria tena Ughaibuni.
alisema kwa masikitiko mwakilishi huyo wa nchini china
hilielezwa kwamba Glory akukubali ndipo alipo mwanzishia timbwili la kuupa kichapo cha mbwa mwizi akimtuhumu kwa nini alimchukulia bwanake katika timbwili hilo walijikuyta wana chaniana nguo na kubaki nusu utupu uku wakutupiana matuzi mazito ya nguoni(ayaandikwi mtandaoni kimadili).wakati wana pigana waliangushana barabarani na kusababisha bonge la foleni na manusula kuka nyagwa na magari.
0 maoni:
Post a Comment