Baada ya kuonekana noti ya SH 500 inamzunguko mkubwa wa matumizi na inachakaa kwa haraka huku kiwango chake cha kuimili mizunguko ni miezi 6 , benki kuua tanzania (BOT) inatarajia kubadili noti hiyo na kuifanya sarafu sarafu hiyo ya 500 inatarajiwa kutambulishwa na kuanza kutumika July 2014 ikienda sambamba na kipindi cha mwaka huu wa fedha ambapo hii sarafu ikitoka inatarajiwa kuhudumu kwenye mzunguko kwa zaidi ya miaka 20 ina itaendelea kubaki kwenye ubora uleule yaani ni himala kuliko noti
Afisa mkuu wa benki kitengo cha idara mkurugenzi za kibenki Patrick Fata amesema
tunafanya hivi kwa sababu noti ya 500 inachakaa haraka kulinganisha na mzunguko wake na kulinga nisha na watu wengi pia uchakaa haraka kulinga nisha na mzunguko wa kushikwa kwa watu wanao kalibia mpaka milioni moja kwa siku hiyo ni idadi kubwa kuliko ya wanao shika noti ya sh. elfu kumi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment