Wakati wa msafara wa timu ya soka ya Tanzania,Taifa stars ikitarajiwa kulejea nchini kesho ikitokea kambini nchini Botswana,kuna habari kuwa kocha Mart Nooij amemtema mshambuliaji mlisho ngasa kwa Utovu wa Nidhamu .hiyo ni baada ya nyota huyo kushindwa kusafili na wenzake nchini Botswana na kwenda Afrika kusini kwa kufanya majaribio kwa kucheza soka la kulipwa na kufuzu.hivyo kusubila balaka za kilabu yake ya yanga .
chanzo cha huakika kilicholipoti kutoka kwa kocha Nooij ,kimedokezwa kutoka Botswana kocha huyo amemtema ngasa kutokana na kukerwa na kitendo chake cha kushindwa kutambua nafasi yake kwa stars kuelekea mechi ya july 20 dhidi ya msumbiji
chanzo hicho kimeeleza nyota huyo kushindwa kuungana na wenzake,hivyo kukosa mazoezi muhimu kuelekea mechi dhidi ya msumbiji kocha amesema aitaji kung'ang'aniwa kwani timu ya taifa inaitaji utashi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment