BARABARA ZA KAWAWA NA MOROCCO KUFUNGWA JUMAPILI NA JUMATATU KUPISHA UJENZI WA MABASI YAENDAYO KASI.

Ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo kasi bado unaendelea jijini dar es salaam hili kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo linalo kuwa kwa kasi kubwa sana katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kati .

Chanzo cha taarifa kutoka kwa mkandalasi wa barabara hiyo amesema kwanzia jumapili na jumatatu barabara za kawawa na morocco zitafungwa muda wote hili kupisha ujenzi huo kwa lengo la kwenda kasi zaidi hili kumaliza haraka iwezekanavyo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment